Articles by "HABARI MAHAKAMANI"
Showing posts with label HABARI MAHAKAMANI. Show all posts
Mahakama yasimamisha Amri iliyotolewa na serikali ya kuwataka kufuta kata Vijiji vitongoji Ngorongoro
Wakili Peter Njau akiongea na vyombo vya habari.Na Vero Ignatus, Arusha.Mahakama kuu kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa Amri iliyokuwa imetolewa na serikali...
  TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA KUANZISHA MFUMO WA KURATIBU AJIRA, MAADILI NA NIDHAMU
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Morogoro Mhe. Latifa Mansoor akifungua kikao kazi maalum kwa ajili ya kupokea maoni na mapendekezo ya kuanzishwa kwa...
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YANG'ARA WIKI YA SHERIA DODOMA
Waziri wa Katiba na Sheria, Mh Dkt.Damas Ndumbaro (Mb) akipokea machqpisho mbalimbali kutoka kwa Afisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Rehema Nyagawa wakati alipotembelea...
 JAJI MKUU UGANDA AANZA ZIARA YA SIKU TATU YA MAHAKAMA TANZANIA
Na Faustine Kapama na Magreth Kinabo-MahakamaJAJI Mkuu wa Uganda, Mhe. Alfonse Chigamoy Owiny-Dollo leo tarehe 24 Mei, 2022 ameanza ziara ya siku tatu kuitembelea Mahakama...
 KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAIMWAGIA SIFA MAHAKAMA UBORESHAJI MIUNDOMBINU
*Waridhishwa na Mradi wa ujenzi wa Makao Makuu ya Mahakama *Wapewa picha ya hali ya uboreshaji huduma za MahakamaNa Mary Gwera, Mahakama-DodomaKAMATI ya Kudumu...
ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA HAI OLE SABAYA AACHIWA HURU
Mahakama Kuu Mahakama Kuu Kanda ya Arusha ya imemuachia huru aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai ole sabaya na wenzake wawiliwaliokua wamekata...
  Kesi Meno Ya Tembo Dhidi Ya Watu 12 Kuanza Kusikilizwa Mei 9
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Mei 9, 2022 kuanza kusikiliza kesi ya kukutwa na nyara za serikali dhidi ya watuhumiwa 11 wakitanzania na raia mmoja wa Guinea...
 FANYENI TATHMINI YA HUDUMA MNAZOTOA - PROF OLE GABRIEL
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza alipokuwa akifunga Kikao kazi cha Mapitio ya Mpango Mkakati wa pili wa Mahakama wa 2020/2021-2024/2025...
DC MOYO: KUREJESHWA MAHAKAMA KATA YA MABOGA HAKUTOATHIRI SHUGHULI ZA MAHAKAMA YA IFUNDA
Mkuu Wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo amewakikishia Wakazi Wa Tarafa ya Kiponzero kuwa kurejeshwa Kwa shughuli za kimahakama katika Kata ya Maboga hakutoathiri...
Page 1 of 41234Next »Last