Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania , Philip Besiimire ( Mwenye tisheti nyeupe), pamoja na Mkurugenzi wa Udhibiti wa Hatari na Utii wa Sheria  Agapinus Tax (wa kwanza kushoto) wakipewa maelekezo kuhusu televisheni janja (smart screen) inayotoa maelekezo kuhusu bidhaa mbalimbali zinazopatikana  katika banda la kampuni hiyo lililoko katika viwanja vya sabasaba ambako maonesho ya 49 ya kimataifa ya Dar es Salaam yanaendelea. Shughuli za kuhamasisha wateja kwenye maonesho ya Sabasaba. Tukio Hilo limetokea leo, katika maadhimisho ya siku ya sabasaba jijini Dare es salaam.
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania , Philip Besiimire (Mwenye tisheti nyeupe), akipewa maelezo kuhusu bidhaa mbalimbali zinazopatikana katika banda la kampuni hiyo lililoko katika viwanja vya sabasaba ambako maonesho ya 49 ya kimataifa ya Dar es Salaam yanaendelea. 

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: