Articles by "MATANGAZO"
Showing posts with label MATANGAZO. Show all posts
MAHALI: Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam - Tanzania.

HAKUNA KIINGILIO

TAREHE: 21 hadi 28 Septemba, 2019

NCHI ZINAZOSHIRIKI : Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na South Sudan
Karibu Christa Lodge ni eneo la kisasa kwa ajili ya malazi, chakula na vinywaji ipo Nguvu Mali, Tanga. Ukifika Christa Lodge hautajutia mapumziko yako. Unaweza kuwasiliana nao kwa 0714 333 179.
Bustani safi ya Maua.
Mapokezi ya kuvutia.
Viyoyozi vya kisasa.
Ulinzi wa Kutosha ikiwa na CCTV kamera.
Korido yenye ulinzi wa kisasa ikiwa na CCTV kamera.
Chumba chenye vitanda vya kisasa.

Televisheni ya kisasa.

Vyoo vya kisasa.
Bar ya nje kwa ajili ya vivyaji na chakula.
Heri ya mwaka mpya...

Karibuni tule sahani ya biriani ikiwa ni sehemu ya kutafuta Ada za kupeleka watoto wenye ualbino wengi zaidi mashuleni. Itakua jumapili hii ya tarehe 6 Januari 2019, ukumbi wa Malaika, nyuma ya jengo la sayansi. Utalia sahani gani? Ya Dhahabu 50,000/= Tsh, ya Fedha 30,000/= Tsh au ya shaba 10,000/=? Burudani ya band ya kizazi kipya itatumbwiza kwa masaa manne mfululizo, karibuni tusaidie watoto wetu kupata elimu.

Waandishi wenzangu, ndugu zangu wanamuziki niliowahi kusaidia kuwatangaza kadri nilivyoweza, ndugu jamaa na marafiki.
Naomba kuungwa mkono;

Wako Henry Mdimu.
Queen Decor ni wauzaji wa Mito na Foronya kwa bei poa kabisaa.

Wanapatikana Sinza Kumekucha Karibu na Sinza Elite Inn ... Karibu wakupatie Foronya kuanzia TSH. 5,000/- tu na kuendelea.

Kwa mawasiliano zaidi 0653698521 au tembelea ukurasa wao wa instagram @queen_decor1
Je Taa za Gari lako zina ukungu, Zimepauka?Kupelekea hupati Mwanga wa Kutosha wakati wa Usiku?Na Ushafikiria Kununua Taa Nyingine? Kama Ni NDIO Basi sasa huna Haja ya Kuwaza Kununua TAA NYINGINE 


Nasafisha na kuzirudisha kwenye Hali yake ya upya lakini Ukipata muonekano amaizing na Kupata mwanga wa Kutosha Wakati wa Usiku na gari lako kuongezeka thamani.

Kwa Gharama nafuu kabisa ya Shilingi Elfu 35 tu Nakufuata Popote Ulipo kwa Dar Es Salaam Na Taa zako zinarudi kwenye Upya Kabisa.

Nipigie Simu 0712 390200 sasa Nije Kukuhudumia
Pilipili zote mbili zinapatikana 

MIXED VEGETABLES CHILLI PEPPER & EGGPLANT GINGER PICKLE

Kwa shilingi elfu tano tu (5,000/-)

Bila kusahau mikoani kote tunatuma

Toa oda yako kupitia namba +255 653 970 030

Bei za jumla na rejareja zote unapata ukihitaji tutawasiliana

Shukrani kwa Wateja wangu wote mlionipa support kuanzia mwanzo mpaka sasa naona mmezipokea vema.


Napenda kuwapa Habari njema wapenzi wasomaji wa Kajunason Blog... Kuwa kwa wale wenye simu za Android sasa unaweza kutupata ndani ya Play Store. Ukiingia download jina la KAJUNASON MOBILE ikifunguka fanya installation baada ya hapo unakuwa unapata manews... Karibu sana, ukipata habari hizi mjulishe na mwenzako.
Ni bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya The Mvula-Mandondo Band yenye makao yake nchini Uingereza,inayoongozwa na mwanamuziki mkongwe wa dansi mtanzania Saidi Jumanne Kanda aliyewahi kutamba na bendi za Super Matimila, na Bima Lee. 

Mkongwe huyo wa muziki anakiongoza kikosi chake cha Mvula-Mandondo Band katika jukwaa kubwa la maonyesho ya kimataifa ya GaiExpo trade fair yanayoambatana  International .Africa Festival Tübingen 2018 inchini Ujerumani ambalo mwaka huu "Focus country Tanzania". 

Bendi ya Mvula-Mandondo itapanda jukwaani kuanzia siku ya Ijumaa ya 10 Agosti 2018 hadi Jumamosi 11 Agosti 2018 Maonyesho hayo yanawashirikisha na Ujasilimali, wafanyibiashara, wasanii na wanamuziki na kuwakusanya umati watu zaidi ya laki moja katika viwanja vya Fest-Platz, mjini Tübingen, kusini mwa ujerumani.

Bendi ya Mvula-Mando inatarajia kutumbuiza katika onyesho lingine kubwa nchini Ufaransa mwezi Septemba.usikose kujumuika na waadau wengine katika maonyesho haya makubwa ambapo wasanii na wajasiliamali toka Tanzania wakiwakilisha na kupeperusha bendera ya "Hapa Kazi Tu"

Pichani ni Kijana anayefahamika kwa jina la ERICK RAPHAEL MSYALIHA anayeishi Sinza-Mugabe ametoweka Ghafla Tarehe 13.03.2017 majira ya usiku alipochukuliwa na watu wasio famika akiwa mitaa ya nyumbani kwake. Mpaka sasa hajarejea nyumbani, hivyo anatafutwa na ndugu zake, Tunaomba yeyote atakayemuona au kupata Taarifa zake atujulishe kwa namba +255718105959 au atoe Taarifa katika Kituo cha Polisi kilicho jirani nae, Tunatanguliza Shukurani zetu.