WANAWAKE laki moja ni Asasi iliyoanzishwa kwa kufuata sheria na taratibu za Nchi mnamo mwezi wa Kwanza 2020.Lengo lake kuu ni Kuunganisha Wanawake wote Nchini Kupinga...
Articles by "UJUMBE WA LEO"
Showing posts with label UJUMBE WA LEO. Show all posts
Mkuu
wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi akizungumza na makundi mbalimbali ya
vijana waliohudhuria katika Kongamano la Kumbukizi ya Baba wa Taifa, Mwalimu
Julius Kambarage...
Nimebahatika kupata fursa kadhaa kukaa na kuzungumza na Mheshimiwa Rais Mstaafu Hayati Benjamin William Mkapa enzi za uhai wake.Fursa ambayo sitaisahau ni ile ya masaa...
Baada ya siku chache kupita tangia wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo la Ubungo kumuamini Prof Alexander Kitila Mkumbo kwa kumpa kura nyingi za kutosha kuongoza katika...
Njia mpya ya utapeli yaibuka wakishirikisha Jeshi la Polisi bila kujitambua kuwa wanafanikisha dili za hawa matapeli. mfano : Matapeli wanaweza kukuuzia sim ya wizi...
Nianze kwa kutoa pongezi za dhati kwa Mtandao wa Vodacom Tanzania kwa kuweza kufanikisha zoezi la usajili wa alama za vidole likawa jepesi kwa kuwafuata wateja katika...
Na Amini Mgheni.
Ndio, wakati umefika wa vijana wa Tanzania sasa, tuongezeke kuvuka mipaka kwa wingi katika taaluma mbalimbali na kushika hatamu katika uchumi...
Palikuwa na mchoraji mmoja ktk moja ya mji mchoraji huyo alikuwa mwenye umri wa utu uzima.
Alikuwa akichora picha nzuri sana na akiziuza kwa gharama kubwa sana.
Siku...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika Mheshimiwa Stephen Masele akiwa ofisini kwake, zilizopo Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Jijini Johannesburg, Afrika Kusini...
Na Emmanuel J. Shilatu
Ni miaka 55 imetimia tangu jahazi lililowabeba Watanganyika na Wazanzibar liweke historia ya kung’oa nanga mara baada ya Jamhuri Muungano...
Ni siku ya Jumanne ya Februari 26, 2019 majira ya saa mbili na robo nikiwa naendesha gari kurudi nyumbani Madale! Kupitia mitandao ya kijamii naona uzi kwamba...
Na January Makamba
Ndugu yangu Ruge, najua ndio umewasili huko upande wa pili na si ajabu una mambo mengi na bado unasalimiana na jamaa zetu wengi waliotangulia....
Ujumbe huu ameuandika katika ukurasa wake wa Instagram
Na Steve Nyerere2
Kwanza nichukue fursa hii kuipongeza Azam Cinema Zetu kwa ubunifu mzuri kwenye suala...
Ndugu wananchi, kumekuwapo na wizi mkubwa wa dawa za wagonjwa katika madirisha ya kuchukuliwa dawa hospitalini, wizi huu unafanywa na watoa dawa hasa kwa wagonjwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)