Napenda kuvipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kugundua kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Bw. Brighton Kilimba alitoa taarifa za uongo kwa...
Articles by "MAONI YA WASOMAJI"
Showing posts with label MAONI YA WASOMAJI. Show all posts
Nimebahatika kupata fursa kadhaa kukaa na kuzungumza na Mheshimiwa Rais Mstaafu Hayati Benjamin William Mkapa enzi za uhai wake.Fursa ambayo sitaisahau ni ile ya masaa...
...
Ni wazi Simba kwa sasa inabadilika na kila mchezaji anaonyesha thamani yake.
Kocha anawapa wengi nafasi ili kila mmoja aonyeshe kipaji chake na wanafanya hivyo.
Kikosi...
Ndugu zangu,
Wakati huu tunapoungana na ndugu, jamaa na rafiki zetu waliopoteza wapendwa wao katika ajali ya Moto hapa Morogoro ni vyema tukatambua kuwa...
Tangu jana, nimeshuhudia umimi na ujinga mkubwa unaotaka kutamalaki hapa nchini kwamba akikamatwa mwandishi wa habari ni jambo la ajabu na kelele zinakuwa nyingi.
Baadhi...
KAMA mtu ataandaa Tuzo kwa ajili ya taasisi yenye bahati mbaya zaidi hapa nchini kwa sasa, sina shaka taasisi hiyo itakuwa ni Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
Nianze kwa kutoa pongezi za dhati kwa Mtandao wa Vodacom Tanzania kwa kuweza kufanikisha zoezi la usajili wa alama za vidole likawa jepesi kwa kuwafuata wateja katika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Ijumaa tarehe 7 Juni 2019 aliendelea kudhihirisha kwa vitendo dhana nzima ya maslahi...
Ameandika Askofu Benson Bagonza (PhD)
Kuna maswali magumu mbele yetu baada ya bunge kupitisha uamuzi wa kihistoria tarehe 2 Aprili 2019.
1. Je, Bunge limepitisha...
Kwenye Suala la ulipaji kodi TRA kupitia mashine za kielektroniki wadau wengi walishauri wananchi wapewe hiyo kazi ya ufuatiliaji kama sehemu ya time muone mapato...
*Tanzania na Taifa Stars kwa sasa tunahitaji watu wenye akili kubwa na sio watu maarufu wasio na utashi na maarifa .
Mawazo yangu juu ya Taifa Stars.
Nimefanya...
“ This Isn’t Only Simba, It’s Astonishing Simba..!”
- Hii Sio Tu Simba, Ni Simba Ya Kushangaza..!
Ndugu zangu,
Matokeo yale yaliyoushangaza ulimwengu wa soka...
Subscribe to:
Posts (Atom)