Vijana wakipakiza uchafu katika gari la taka taka maeneo ya Victoria jijini Dar es Salaam jambo ambalo linaonyesha wao wanafanya kazi hiyo bila ya vifaa maalum. Je? wahusika wanajua kuwa mtu ni afya.
Ona wakipakia uchafu katika gari huku mwingine akiwa amekaa juu ya huo uchafu unaonuka na kutoa harufu mbaya.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: