Leo katika pita pita ya Kajunason Blog ndani ya jiji la Dar es Salaam limekutana na bango ambalo linawahamasisha wananchi kuacha kununua Filamu na CD za muziki ambazo hazina stempu za kodi. Swali ni je?? wasanii wanalijua hili kuwa limeshaanza kufanya kazi ama ni hadithi tu????
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: