Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa ameongozana na mke wake Mama Salma
Kikwete, wakipokelwewa nyumbani kwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa
halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa
zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa
amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, na Mama Salma Kikwete, wakitambulishwa
kwa watoto wa Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec)
na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau
nyumbani kwa marehemu Magomeni jijini Dar es salaam walipofika kufariji
wafiwa.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo
nyumbani kwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec)
na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau,
aliyefariki dunia juzi jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa
kansa ya tumbo.
Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezi
nyumbani kwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec)
na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau,
aliyefariki dunia juzi jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa
kansa ya tumbo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma KLikwete wakiwafariji
wafiwa nyumbani kwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa
(Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred
Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
(MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa
wa kansa ya tumbo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwet akiwa na watoto wa marehemu Alfred Tandau. Kulia kwake ni Bw. Henry Tandau na kushoto kwake ni Bw Julius Tandau. Hapo nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo.
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments: