Muda si mrefu huyu kaka kajirusha toka ghorofa ya 9 Concord hotel kariakoo akaangukia kwenye hiyo taxi dah chanzo hata hakijulikani kapatwa na nini ni mfanyabiashara anaitwa Shirima kakimbizwa hosp.
Habari kamili itawajia
chanzo. bofya hapa
chanzo. bofya hapa
Toa Maoni Yako:
0 comments: