Articles by "HABARI NA MATUKIO"
Showing posts with label HABARI NA MATUKIO. Show all posts
AWAMU YA PILI UBORESHAJI, UWEKAJI WAZI WA DAFATRI LA WAPIGA KURA KUANZA MEI
Na Mwandishi Wetu.Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili utafanyika sambamba na uwekaji wazi wa Daftari la Awali la Wapiga Kura kuanzia tarehe...
Viongozi wa makanisani wampongeza mama Samia kampeni ya Legal Aid
Na Hadija Bagasha Korogwe, Tanga.Baadhi ya wananchi wanaoishi Wilayani Korogwe Mkoani Tanga wamesema wanaokabiliwa na Changamoto mbalimbali ikiwemo za Ardhi, Mirathi,...
Tully Esther Mwambapa Atunukiwa Tuzo ya “KiongoziAnayeongoza kwa Uwezeshaji Barani Afrika”
Lagos Nigeria - Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation na Mkurugenzi wa MahusianowaBenki ya CRDB Bank, Tully Esther Mwambapa, ametajwa kuwa Kiongozi Anayeongoza...
VYAMA VYA SIASA, SERIKALI NA TUME YA UCHAGUZI WASAINI MAADILI YA UCHAGUZI
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akisaini maadili ya Uchaguzi kwa niaba ya Tume.Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu...
DKT. YONAZI AKUTANA NA UJUMBE WA IFAD NA TIMU YA WATAALAM NA WATEKELEZAJI WA PROGRAMU YA AFDP
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonaz akizungumza wakati wa kikao cha majumuisho (Wrap-Up Meeting) kilichohusisha...
TANZANIA YASAINI MKATABA MPYA WA USAFIRI WA BAHARINI WA AFRIKA KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRIKA
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini rasmi Mkataba Mpya wa Usafiri wa Baharini wa Afrika wa mwaka 2010, hatua muhimu inayoashiria kuimarika kwa dhamira yake ya kushiriki...
TUME, SERIKALI NA VYAMA VYA SIASA KUSAINI MAADILI YA UCHAGUZI
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndg. Kailima, R. K akifafanua jambo.Na Mwandishi Wetu Dodoma.Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, vyama vya siasa...
RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA K.K.K.T, DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi...
Benki ya CRDB, TARURA wazindua mikopo ya Makandarasi fedha za Samia Infrastructure Bond
Dodoma. Tarehe 10 Aprili 2025: Baada ya ufanisi mkubwa kwenye mauzo ya Samia Infrastructure Bond yaliyohitimishwa mapema Januari, Serikali imewataka makandarasi kote...
Page 1 of 5091234567...509Next »Last