Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally akizungumza na waumini wakiislam muda mfupi baada ya Swalaat Jumaa katika Msikiti wa Mohamad Saadis uliopo Bakwata Kinondoni jijini Dar es salaam, ikiwa ni Ijumaa ya kwanza kuswaliwa katika Msikiti huo uliofanyiwa ufunguzi mdogo leo. Msikiti huo umejengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohammed VI wa Morocco ambaye ndiye atakayekuja kuufungua rasmi siku za usoni.
Sheikh Hamid Jongo akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally kuzungumza na waumini wakiislam muda mfupi baada ya Swalaat Jumaa katika Msikiti wa Mohamad Saadis uliopo Bakwata Kinondoni jijini Dar es salaam, ikiwa ni Ijumaa ya kwanza kuswaliwa katika Msikiti huo uliofanyiwa ufunguzi mdogo leo.
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azzan Zungu muda mfupi baada ya Swalaat Jumaa katika Msikiti wa Mohamad Saadis uliopo Bakwata Kinondoni jijini Dar es salaam, ikiwa ni Ijumaa ya kwanza kuswaliwa katika Msikiti huo uliofanyiwa ufunguzi mdogo leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: