RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Chaani Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mweupe Chaani leo 15-4-2022. (Picha na Ikulu) WANANCHI wa Kijiji cha Chaani Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akitowa nasaha zake kwa Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mweupe Chaani leo 15-4-2022.(Picha na Ikulu) WANANCHI wa Kijiji cha Chaani Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mweupe Chaani Unguja leo 15-4-2022. (Picha na Ikulu)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: