
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Dotto Biteko pamoja na Viongozi mbalimbali wakiwasili kuhudhuria shughuli ya mazishi ya aliyekuwa waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa leo Februari 17, 2024 katika kijiji cha Ngarash wilayani ya Monduli mkoa wa Arusha asubuhi hii.
















Toa Maoni Yako:
0 comments: