Mawakala wa usajili wa kampuni ya Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa kampuni, makao makuu ya ofisi jijini Dar es Salaam. Mawakala hao waliagwa kuanza ziara ya kutembelea Afrika ya Kusini ikiwa ni jitihada iliyotambulishwa mapema mwaka huu na kampuni hiyo kuwazawadia mawakala wa usajili kutokana na utendaji bora wa kazi.

Mawakala wa usajili wa kampuni ya Vodacom Tanzania wakiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere tayari kwa ziara ya kutembelea Afrika ya Kusini ikiwa ni jitihada iliyotambulishwa mapema mwaka huu na kampuni hiyo kuwazawadia kutokana na utendaji bora wa kazi.

Mawakala wa usajili wa kampuni ya Vodacom Tanzania wakiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo tayari kwa ziara yao ya kutembelea Afrika ya Kusini ikiwa ni jitihada iliyotambulishwa mapema mwaka huu na kampuni hiyo kuwazawadia kutokana na utendaji bora wa kazi.

Mawakala wa usajili wa kampuni ya Vodacom Tanzania wakiwa katika makao makuu ya ofisi mama ya Vodacom nchini Afrika ya Kusini walipotembelea kujifunza masuala mbalimbali. Ziara hiyo ni jitihada iliyotambulishwa mapema mwaka huu na kampuni hiyo kuwazawadia kutokana na utendaji bora wa kazi.

Mawakala wa usajili wa kampuni ya Vodacom Tanzania wakimsikiliza mmojawapo wa wafanyakazi wa kampuni mama ya Vodacom nchini Afrika ya Kusini walipozuru kujifunza masuala mbalimbali. Ziara hiyo ni matokeo ya jitihada iliyotambulishwa mapema mwaka huu na kampuni hiyo kuwazawadia mawakala wa usajili kutokana na utendaji bora wa kazi.
Mawakala wa usajili wa kampuni ya Vodacom Tanzania wakiwa katika mitaa tofauti nchini Afrika ya Kusini walipozuru kujifunza masuala mbalimbali. Ziara hiyo ni matokeo ya jitihada iliyotambulishwa mapema mwaka huu na kampuni hiyo kuwazawadia mawakala wa usajili kutokana na utendaji bora wa kazi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: