Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD kiliopo Eurendeke Longido Mkoani Arusha leo tarehe 18 Oktoba 2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi Mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa kuzindua kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD kiliopo Eurendeke Longido Mkoani Arusha leo tarehe 18 Oktoba 2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi Mkoani Arusha. wa pili kulia Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso, Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. John Mongela, kushoto Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uandaaji wa Nyama mara baada ya kuzindua kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD kiliopo Eurendeke Longido Mkoani Arusha leo tarehe 18 Oktoba 2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi Mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mradi Mkubwa wa Maji safi na Salama Longido Mkoani Arusha leo tarehe 18 Oktoba 2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi Mkoani Arusha. Wa pili kulia Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso, kushoto ni Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. John Mongela.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi wa Longido mkutano wa Hadhara uliofanyika leo tarehe 18 Oktoba 2021 katika Uwanja wa Stendi mpya Longido Mkoani Arusha. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Arusha akiendelea na ziara yake ya kikazi kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi Mkoani Arusha. PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: