Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles Kabeho akiweka udondo wenye Saruji pembeni ya tofali wakati aliposhiriki ujenzi wa shule mpya ya sekondari iliyopo Wilayani Gairo kama Sehemu ya Miradi iliyotembelewa na Mwenge.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles na Mkuu wa Wilaya ya Gairo Sirile Mchembe wakipiga makofi mara bada ya kuweka jiwe la kwenye Majengo Matano Mapya yanayojengwa katika Hospitali ya Gairo.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles Kabeho akizungumza na Wakazi w Gairo mara baada ya kuweka jiwe la Msingi katika Majengo Matano ya Hospitali ya Gairo.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles Kabeho akimshikisha Mwenge Mmoja ya Wazee waliofika Kushuhudia Mwenge ukikimbizwa Wilayanai Gairo
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles Kabeho akikagua moja ya Bidhaa zilizotengezwa kwenye Viwanda Vidogo vya Wajasiliamali wa Wilaya ya Gairo.
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Gairo Akiwa ameshika Mwenge mara baada ya kuupokea kwa mkimbiza Mwenge Msaidizi Issa Mohamed
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2018 Charles Kabeho akipokea Risala ya Utii kwa Rais kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Gairo Siriel Mchembe mara baada ya kumalizwa kuosomwa na katibu Tawala wa Wilaya.


Toa Maoni Yako:
0 comments: