Mshehereshaji wa Harusi ya Bwana na Bibi Rodrick Daudi Mambosho, MC Onai (kushoto) akiwatambulisha maharusi wakati wa sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Bufalo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Salamu za pongezi kwa maharusi. Ukitaka sherehe yako uhudumiwe na MC Onai wasiliana nae 0716 162 220.






Toa Maoni Yako:
0 comments: