Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Perfect Infotech International Limited (PII), Bw. Amos Oyamba akimpatia zawadi ya hundi yenye thamani ya shilingi Milioni moja kwa mshiriki wa Miss Tanzania 2016 ambaye alikuwa ni mwakilishi wa mkoa wa Kilimanjaro, Miss Glory Minja. Pembeni ni Mkurugenzi Uendeshaji Biashara wa kampuni ya Perfect Infotech International Limited (PII), Ebenezer Msuya.
Miss Tanzania 2016 ambaye alikuwa ni mwakilishi wa mkoa wa Kilimanjaro, Miss Glory Minja akitoa shukrani zake wa kampuni ya PII ambao wamemtambulisha kuwa balozi wao.
Mkurugenzi Uendeshaji Biashara wa kampuni ya Perfect Infotech International Limited (PII), Ebenezer Msuya akizungumza na waandishi wa habari wakati wakimtambulisha balozi wa kampuni yao, mshiriki wa Miss Tanzania 2016 ambaye alikuwa ni mwakilishi wa mkoa wa Kilimanjaro, Miss Glory Minja.
Toa Maoni Yako:
0 comments: