Mtaalamu wa mifumo ya kompyuta wa kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, Naamini Yonazi akiongea na wasichana wanaofanya mafunzo ya Code like a Girl yanayofadhiliwa na kampuni hiyo kupitia asasi ya dLab jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki ikiwa ni muendelezo wa programu hiyo yenye lengo la kuleta fursa kwa wasichana kujifunza na kukuza ustadi wa kidijitali, ikiwa ni hatua muhimu ya kuhakikisha wasichana wanajikita zaidi katika masomo ya Tehama.
Home
BURUDANI
HABARI
HABARI NA MATUKIO
HABARI ZA BIASHARA
HABARI ZA KIJAMII
TEKNOLOJIA
VODACOM YAWAPA WASICHANA DAR ES SALAAM MAFUNZO YA TEHAMA KUPITIA PROGRAM YA 'CODE LIKE A GIRL'
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: