Ofisa Uhusiano wa DStv, Barbara, akizungumza wakati akiwakaribisha wageni waalikwa ukumbini humo jana usiku kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi huo.Kutoka kulia ni Mtangazaji wa redio Clouds FM, Gerald Hando, Muandaaji wa Vipindi wa redo hiyo Suddy Brown, mtangazaji wa redio hiyo Arnold Kayanda wakiwa ni miongoni mwa watu walioalikwa kushuhudia uzinduzi huo, pamoja na mtangazaji mwenzao Dina Marios (katika mstari huo kushoto).Sehemu ya mashabiki na watazamaji ama wafuatiliaji wa Big Brother wakiwa ndani ya Ukumbi wa Nyumbani Lounge, wakishuhudia uzinduzi rasmi wa kinyang'anyiro cha kuwania kitita cha kufanikiwa kuishi siku 91 ndani ya jumba la maajabu la Big Brother huko nchini Afrika ya Kusini. Pamoja na uzinduzi huo kufanyika Afrika ya Kusini lakini bado pia watanzania walijumuika ndani ya ukumbi wa Nyumbani Lounge chini ya mwaliko wa DStv na kujihisi kuwa nao wamefika South na kushuhudia live. Picha zote kwa hisani ya Sufiani Mafoto.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: