Mkurugenzi Mtendaji wa Vidacom Tanzania Philip Besimire akizungumza wakati wa hafla ya Iftaar ya pamoja na Wateja wa Vodacom Zanzibar na Wafanyakazi katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar, akizungumza na kutowa shukrani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk,Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Philip Besimire alipowasili katika viwanja vya Hotel ya Golden Tulip kuhudhuria Iftaar ya pamoja iliyoandaliwa na Vodacom.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk,Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Tehama wa Vodacom Athumani Mlinga alipowasili katika viwanja vya Hotel ya Golden Tulip kuhudhuria Iftaar ya pamoja iliyoandaliwa na Vodacom.


Toa Maoni Yako:
0 comments: