Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Makamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyakazi Zanzibar, (ZATUC), Bwana Khamis Mwinyi Mohamed, pamoja na ujumbe wake na Uongozi wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, ukiongozwa na Waziri Mhe, Haroun Ali Suleiman, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar, kwa mazungunzo na Rais, jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyakazi Zanzibar, (ZATUC), ukiongozwa na Bwana Khamis Mwinyi Mohamed, pamoja na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, ukiongozwa na Waziri Mhe, Haroun Ali Suleiman, (kulia) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar, kwa mazungunzo na Rais, jana.


Picha na Ramadhan Othman, Ikulu-Zanzibar.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: