Keki
Hapa MC wa shughuli hiyo alikuwa akimuelekeza jinsi ya kufanya huku yeye akijaribu kumtumia sms mshikaji wake Othman Michuzi kumwambia kuwa muda wa kike umefika, hivyo ajitahidi kuwahi.
Dada Mariam akimuelekeza kaka yake jinsi ya kukata keki.
Wakati Dada Mariam akijaribu kumsaidia kukata na kuweka kwenye sahani aliona ni vyema akaanza kuionja kwanza.
Kaka yake mkubwa Hussein akilishwa keki.
Dada Mariam nae hakuwa nyuma kumlisha kaka yake.
Hapa ilikuwa ni utata tupu, maana Sule Jr anataka kumlisha mwanadada Minna huku na yeye akitaka kumlisha.
Mmiliki wa Blog hii ya Habari na Matukio hakuwa nyuma kulishwa keki huku Mina akifuatilia.
Akimlisha mtoto mwenzake.
Mc George nae hakuwa nyuma.
Simoni ambaye alikuwa ndiye mc wa shughuli akilishwa keki kwa staili ya namna yake.
Watoto wakifurahia.
Minna na Sule Jr.
Hussein, Sule Jr na Cathbert Angelo ambaye ni mmiliki wa Blog hii.
Akiwa na dada zake.
Mariam, Sule na Mie.

Toa Maoni Yako:
0 comments: