Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Naibu Rais wa Jamhuri ya Kenya Prof. Kithure Kindiki, wakati alipowasili Uwanja wa Nyayo Jijini Nairobi kushiriki Mazishi ya Kitaifa ya Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya, Raila Amolo Odinga, leo tarehe 17 Oktoba 2025.
Home
HABARI
HABARI NA MATUKIO
HABARI ZA KIJAMII
KITAIFA
TANZIA
Makamu wa Rais ashiriki mazishi ya Kitaifa ya Raila Odinga, Kenya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)















Toa Maoni Yako:
0 comments: