Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People's Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege (kulia) na Mgombea Mwenza, Mhe. Abdalla Mohd Khamisi wakionesha mkoba ulio na fomu.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People's Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege. Mgombea huyo wa UPDP aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Abdalla Mohd Khamisi (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 10, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People's Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege.
Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia UPDP, Mhe. Abdalla Mohd Khamisi akisaini kitabu





Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: