Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Doto Biteko, akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Kimataifa, Bw. Mark Russell, kuhusu masuala ya ushirikiano na uwekezaji katika sekta ya nishati. Tukio hilo lilifanyika leo katika ofisi za Waziri Mkuu, jijini Dodoma.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Doto Biteko, akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Kimataifa, Bw. Mark Russell pamoja na viongozi alioambana nao. Tukio hilo lilifanyika leo katika ofisi za Waziri Mkuu, jijini Dodoma.





Toa Maoni Yako:
0 comments: