Dar es Salaam, Tanzania – Vodacom Tanzania inayo furaha kutangaza kuunganishwa kwa My Vodacom App na M-Pesa Supa App, hatua inayolenga kurahisisha na kuboresha zaidi huduma kwa wateja. 

Kupitia muunganiko huu, wateja wataweza kufurahia huduma zote wanazozipenda za Vodacom kwenye aplikesheni moja, hivyo kuongeza ufanisi na urahisi wa matumizi.

Kama sehemu ya mabadiliko haya, My Vodacom App itasitishwa rasmi tarehe 1 Desemba 

Tunawahimiza wateja wote kupakua na ku-update M-Pesa Supa App ili kuendelea kufurahia huduma zetu bila usumbufu.Hatua hii inadhihirisha dhamira yetu ya kuboresha huduma kwa wateja kupitia suluhisho za kibunifu. Asante kwa kuichagua Vodacom Tanzania.
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: