MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema anatarajia kuachia nafasi ya Uwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, ili kupata nafasi zaidi ya kuwatumikia wananchi wa Mkoa wa Mbeya kimaendeleo. Chalamila ametoa kauli hiyo jijini Mbeya wakati akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Sido Jijini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: