Meza kuu
Wajumbe wa Sekretariet ya CCM wakiimba wimbo alipowasili Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Ndg Abdulrahman Kinana katika hafla iliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma leo.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipeana Mkono na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana mara baada ya kumkabidhi zawadi mbalimbali alizotoa kwa niaba ya Kamati ya Wabunge wa CCM katika hafla iliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma leo.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Kmati ya Wabunge wa CCM Mhe Majaliwa Kassim akimkabidhi zawadi mbalimbali Katibu Mkuu wa CCM kwa niaba ya Kamati ya Wabunge wa CCM katika hafla iliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga Ndg Abdulrahman Kinana na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma leo.
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wabunge katika hafla aliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma leo.
Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally akizungumza na wabunge katika hafla ya kumuaga Katibu Mkuu Mstafu Abdulrahman Kinana iliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma leo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya wabungea wa CCM akizungumza katika hafla ya kumuaga Katibu Mkuu Mstafu Abdulrahman Kinana na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na wabunge katika hafla aliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma leo.
Sehemu ya wabunge wakifuatilia Hafla hiyo
Wajumbe wa Sekretariet ya CCM wakifuatilia Hafla hiyo
Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Abdurahmani Kinana akiteta jambo na Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa Kamati Mhe Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya kitenge aina ya Wax Mke wa Katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally katika hafla iliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga Ktibu mkuu Mstaafu Ndg Abdulrahman Kinana na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma leo.
Katibu Mkuu Mstaafu Ndg. Abdulrahman Kinana akifurahi jambo na Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Ndg Hamphley Polepole katika hafla iliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma leo.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mhe Stanslaus Mabula akimuaga Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana katika hafla iliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma leo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM akizungumza na Mbunge wa CCM anaewakilisha Vijana Mhe Khadija ALLY wakati wa hafla iliyoandaliwa na wabunge wa CCM ya kumuaga na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya, Dk Bashiru Ally, jijini Dodoma leo.(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI CCM).
Toa Maoni Yako:
0 comments: