
''Unapoongelea Utaalamu wa Mapenzi,Unapoongelea
Uponywaji wa Hisia zako,Meseji yake moja tu ni dawa tosha kwa Kwa
Machozi yako, Ni dawa tosha ya relationship yako isiyoeleweka... Dawa
tosha ya Kurudisha Smile yako iliyopotea... Muite Seth a.k.a Doctor
Love.
Katika masomo hayo utajifunza mambo mbali mbali yanayohusu mapenzi kupitia maisha yetu ya Kawaida Ungana nasi sote.
Usisubiri Mapenzi yaanze kuzeeka ndiyo uyatafutie Scrub kuyasugua, wakati ni huu, Jifunze ili uishi kwa raha sasa na baadae. Jogoo mzee hawiki kwa kushikilia ukuta, ukiyawezea mapenzi hakuna kitakachokushinda.
Unaweza kujiunga kwa njia ya Simu ya Mkononi kwa Kutuma neno SETH kwenda 15678 pia Kajunason Blog kwa Kutuma neno KB kwenda 15678. Utaunganishwa zaidi na utaweza kupata habari Moto Moto kupitia teknolojia. Usikubali kupitwa na wakati ni wakati wa Digitali.
Toa Maoni Yako:
0 comments: