Makochi ya kisasa yapo kwenye hali nzuri yanauzwa kwa bei poa ambayo yatafanya kufurahia wewe na ndugu rafiki na jamaa.
Mfano wa makochi hayo ni hilo pichani, Jumla ya makochi hayo yapo manne (4),
Likiwemo la -Kukaa watu watatu(lipo moja)
-Kukaa watu wawili( lipo moja)
- Kukaa mtu mmoja kama hilo la hapo pichani( Yapo mawili).
Makochi yote yapo Tabata Aroma, sehemu ambayo mteja ataweza kufika na kuyabeba kirahisi bila usumbufu wowote, bei ni nzuri na ni ya maelewano kwani haya muda toka kununuliwa kwake na hayajatumika muda mrefu.
Kwa aliyetayari awasiliane kupitia namba hii: +255719076376 ama email; chalefamily@yahoo.com.

Toa Maoni Yako:
0 comments: