Articles by "WAZIRI MKUU"
Showing posts with label WAZIRI MKUU. Show all posts
KATIBU MKUU LUHEMEJA ATOA SIKU 100 PSSSF KUKAMILISHA AWAMU YA PILI UJENZI KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI KILIMANJARO
Na. Mwandishi wetu - KilimanjaroKatibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhandisi Cyprian Luhemeja ametoa siku 100 kwa Mkurugenzi Mkuu...
 MAJALIWA: MRADI WA SGR UTAKAMILIKA KAMA ULIVYOPANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa wakati alipokagua ujenzi wa Stesheni Kuu ya Reli ya Kisasa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya...
 WAZIRI MKUU AHUDHURIA MKUTANO WA TICAD, TUNIS TUNISI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akifuatilia Mkutano wa Nane wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kimataifa kuhusu Maendeleo ya Japan na Afrika (TICAD 8) unaoendelea...
MAJALIWA: RAIS SAMIA ANATAMBUA MCHANGO WA MICHEZO SHULENI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan inatambua mchango wa michezo shuleni, hivyo itaendelea kuhamasisha...
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA CDC
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 27, 2022 amezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani (CDC) Dkt. Rochelle Walensky...
 WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA MADARASA LINDI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Mkoa na Wilaya za Mkoa wa Lindi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Nachingwea akielekea Ruangwa, Desemba...
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MAJENGO YA CBE MBEYA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara, tawi la Mbeya katika eneo la Iganzo jijini humo, Novemba 30, 2021. Wa pili...