Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Korea Infrastructure Finance Corporation (K-FINCO) Dkt. Eun-Jae Lee aliyeambatana na ujumbe wa makampuni 11 makubwa ya ujenzi ya Korea, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 26 Julai, 2025.
Home
HABARI
HABARI NA MATUKIO
KITAIFA
MAMA SAMIA SULUHU
Rais Samia Ashiriki Mazungumzo na Kiongozi wa Taasisi ya K-FINCO ya Korea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)







Toa Maoni Yako:
0 comments: