Mkuu wa Idara ya Mkakati wa TEHAMA na Uhandisi wa Programu wa Vodacom Tanzania PLC Cleopatra Mukangara (kushoto), akipokea tuzo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Ukaguzi na Udhibiti wa Mifumo ya Taarifa (ISACA) Abdulrahman Hussein (kulia) kwa Kujitolea na Kuchangia Ukuaji wa ISACA Tanzania Chapter (Usalama wa Mtandao, Ukaguzi na Hatari) mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Tuzo hii inatambua juhudi za kampuni ya Vodacom katika kukuza uvumbuzi na ubora kaVodacom yapewa tuzo kwa Kujitolea katika Sekta ya TEHAMA.
Home
HABARI
HABARI NA MATUKIO
HABARI PICHA
HABARI ZA BIASHARA
HABARI ZA KIJAMII
TEKNOLOJIA
Vodacom yapewa tuzo kwa Kujitolea katika Sekta ya TEHAMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: