RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisuhudia utiaji wa Saini ya Makubaliano ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu Zanzibar, (kulia ) Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kitaifa ya Kuratibu na Udhibiti Dawa za Kulevya Zanzibar Kanal. Burhani Zuberi Nassor, akitia saini kwa nia ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Afisa Muandamizi wa Ubalozi wa Uingereza Nchi Tanzania anayeshughulikia masuala ya Haki na Usalama Bw. Saimon Charters, akisaini kwa niaba ya Serikali ya Uingereza,hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-12-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kubadilishana mawazo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar, baada ya kumaliza mazungumzo yao na kushuhudia utiaji wa saini ya makubaliano ya kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu na kushuhudia utiaji wa saini ya makubaliano ya kupambana na Dawa za Kulevya na uhalifu hafla hiyo imefanyika leo 15-12-2021.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa Mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu akiwa na ujumbe wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe.David Concar, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu. (Picha na Ikulu)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: