Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Burundi Jenerali Alain Guillaume (Kushoto). Waziri Mkuu wa Burundi alifika leo Julai 27, 2020 Ofisi ndogo za Waziri Mkuu, Magogoni Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwasilisha salamu za pole kutoka kwa Rais na Wananchi wa Jamhuri ya Burundi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na watanzania kufuatia kifo cha Rais wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Burundi Jenerali Alain Guillaume, Leo Julai 27, 2020, Jijini Dar es Salaam (Picha na Ofisi ya Waziri. Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Burundi Jenerali Alain Guillaume , Leo Julai 27, 2020, Jijini Dar es Salaam (Picha na Ofisi ya Waziri. Mkuu)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: