Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisaini kitabu cha Maombolezo alipofika nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kutoa pole kwa mjane Mama Anna Mkapa Masaki, Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia) pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid wakimsabai mjane wa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akisaini kitabu cha Maombolezo alipofika nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa kutoa pole kwa mjane Mama Anna Mkapa Masaki, Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (kulia), Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid (katikati) pamoja na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto) wakimsabai mjane wa kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa nyubani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (katikati), akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid (kushoto) pamoja na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. PICHA NA BUNGE
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: