Ndege mpya aina ya DE Havilland DASH8-400 ikipokelewa kwa saluti ya maji na Kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ilipotua Uwanja wa Ndege wa Mwanza ikitokea Canada na kupokelewa na maelfu ya wananchi wakiomngiozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Jumamosi Desemba 14, 2019
Ndege mpya aina ya DE Havilland DASH8-400 ikipokelewa Kwa saluti ya maji na kikosi cha Jeshi la Zimamoto na uokoaji ilipotua Uwanja wa Ndege wa Mwanza ikitokea Canada na kupokelewa na maelfu ya wananchi wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Desemba14, 2019
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe .Samia Suluhu Hassan pamoja na balozi wa Canada nchini Mhe. O’Donnell na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuipokea rasmi ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400 Katika uwanja wa ndege Mwanza jumamosi 14,2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan pamoja na Balaozi wa Canada nchini Mhe Pamela O’Donell na mkewe mama Janeth Magufuli akiwapongeza kwa furaha marubani wazalendo waliondesha ndege ya mpya DEHavilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa mwanza jumamosi Desemba 14,2019
Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzani Dkt.John Pombe na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwapongeza kwa furaha marubani wazalendo walioendesha ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza Jumamosi Desemba14 ,2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa ATCL wakati wa mapokezi ya ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza Jumamosi 14,2019
Ndege mpya kabisa aina ya DE Havilland DASH8-400 baada ya kuwasili kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza Jumamosi Desemba 14, 2019
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: