RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewaongoza Watanzania katika sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara na miaka 57 ya Jamhuri. Sherehe hizo zimefanyika katika uwanja wa michezo wa CCM Kirumba jijini Mwanza Desemba 9 2019.
Katika Sherehe hizo viongozi mbalimbali wa kisiasa wakiwemo wa upinzani walihudhuria ambapo Rais aliwapa fursa ya kuhutubia watanzania. Viongozi hao ni pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Philip Mangula, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CUF Mhe. Profesa Ibrahim Haruna Lipumba. Pia Marais wastaafu Mhe. Benjamin Mkapa na Mhe. Ali Hassan Mwinyi nao walitoa nasaha zao.
Pamoja na mambo mengine Mhe. Dkt. Magufuli kwa mara ya kwanza tangu kupata Uhuru, alitoa msamaha mkubwa kabisa wa wafungwa wapatao 5, 533 kutoka magereza yote nchini.
Chini ni baadhi ya matukio mbalimbali ya sherehe hizo.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Picha namba 5. Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU WA TANZANIA BARA PAMOJA NA MIAKA 57 YA JAMHURI ZILIZOFANYIKA KATIKA UWANJA WA CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA
Picha namba 1.
Picha namba 2. Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Picha namba 3. Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Picha namba 4. Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Picha namba 5. Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Picha namba 6. Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Picha namba 7. Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akiwasalimia wananchi katika maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Miaka 57 ya Jamhuri katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Toa Maoni Yako:
0 comments: