Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa na Mke wa Rais wa Afrika Kusni Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa wakipatiwa maelezo mbali mbali wakati wakitembelea makaburi ya wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania. Ziara ya Ramaphosa inakuja siku chache kabla ya Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa SADC utakaofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akipanda mti wa kumbukumbu wakati alipotembelea makaburi ya wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa na mkewe Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa akiweka shada la maua mara baada ya kutembelea makaburi ya wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akizungumza machache mara baada ya kutembea makaburi ya wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akihutubia mara baada ya kutembelea kambi ya Mazimbu mjini Morogoro mapema leo Agosti 16, 2019 ambapo wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania. Ziara ya Ramaphosa inakuja siku chache kabla ya Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa SADC utakaofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Picha zote na Team Matokeo Chanya+.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa akizungumza wakati wa hafla ya kumkaribisha Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kutembelea kambi ya Mazimbu mjini Morogoro mapema leo Agosti 16, 2019 ambapo wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania. Ziara ya Ramaphosa inakuja siku chache kabla ya Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa SADC utakaofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Palamagamba Kabudi akizungumza wakati wa hafla ya kumkaribisha Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kutembelea kambi ya Mazimbu mjini Morogoro mapema leo Agosti 16, 2019 ambapo wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania. Ziara ya Ramaphosa inakuja siku chache kabla ya Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa SADC utakaofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Palamagamba Kabudi (kushoto) wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa (hayupo pichani) akihutubia hafla ya kumkaribisha Rais Ramaphosa kutembelea kambi ya Mazimbu mjini Morogoro mapema leo Agosti 16, 2019 ambapo wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Palamagamba Kabudi (kushoto) pamoja na Waziri wa Utalii wa Afrika Kusini Mmamoloko Kubayi-Ngubane wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa (hayupo pichani) akihutubia hafla ya kumkaribisha Rais Ramaphosa kutembelea kambi ya Mazimbu mjini Morogoro mapema leo Agosti 16, 2019 ambapo wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe (kushoto) wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa (hayupo pichani) akihutubia hafla ya kumkaribisha Rais Ramaphosa kutembelea kambi ya Mazimbu mjini Morogoro mapema leo Agosti 16, 2019 ambapo wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania.
Wageni waalikwa wakifuatilia hotuba za viongozi.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akipatiwa zawadi ya picha na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa mara baada ya kutembelea kambi ya Mazimbu mjini Morogoro mapema leo Agosti 16, 2019 ambapo wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania.
Wageni waalikwa.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa na mkewe Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa wakipatiwa maelezo mbali mbali wakati wakitembelea makaburi ya wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa na mkewe Dkt. Tshepo Motsepe-Ramaphosa wakipatiwa maelezo mbali mbali wakati wakitembelea makaburi ya wapiganaji wa ANC walikuwa wakikaa na kupatiwa mafunzo na serikali ya Tanzania. Picha zote na Team Matokeo Chanya+.
Toa Maoni Yako:
0 comments: