Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Geita mjini Mhe.Constantine Kanyasu akiwa na Diwani wa viti maalum, Jesca Kalalio wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la Kasamwa mkoani Geita ambapo pamoja na mambo mengine Mhe, Kanyasu aliwaeleza wananchi hao kuhusiana na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali za kutafuta soko zuri kwa ajili ya zao la pamba.
Baadhi ya wananchi wa Kata ya Kasamwa waliokusanyika katika eneo la mkutano kwa ajili ya kumpokea Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Geita mjini Mhe.Constantine Kanyasu mara baada ya kuwasili katika eneo la mkutano.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Geita mjini Mhe.Constantine Kanyasu akizungumza nan wananchi kwenye mkutano wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la Kasamwa mkoani Geita ambapo amewashauri wakulima wasiuze pamba yao kwa walanguzi ambao wamekuwa wakinunua kwa bei ndogo.
Wananchi wa Kata ya Kasamwa wakimsiliza Mbunge wao, Mhe. Constantine Kanyasu wakati wa mkutano uliofanyika mkoani Geita ambapo amewataka kuwa wavumilivu huku Serikali ikiendelea kuwatafutia soko la zao la pamba.
Mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Geita, Bw. Barnabas Mapande akizungumza na wananchi wa Kata ya Kasamwa kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Geita mjini Mhe.Constantine Kanyasu kwa ajili ya kuzungumza nao.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Geita mjini Mhe.Constantine Kanyasu (katikati) akiwa na baadhi ya viongozi wa CCM pamoja na watumishi wa Umma mara baada ya mkutano wa hadhara kufunguliwa katia kata ya Kaswama mkoani Geita.
Diwani wa Kata ya Kanyala, Mhe. Logaloga akizungumza na wananchi kwa jinsi anavyoshirikiana na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Geita mjini Mhe.Constantine Kanyasu katika kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo la Geita mjini.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Geita mjini Mhe.Constantine Kanyasu akiwatambulisha Makatibu wake kwa wananchi wa Kata ya Kasamwa mara baada ya kuzungumza na wananchi hao mamabp mbalimbali ikiwemo bei ya pamba, ufumbuzi wa suala la maji na nishati ya umeme.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: