Meza ya Majaji ikijadili jambo wakati wa shindano la kusaka vipaji la Tigo Fiesta Supa Nyota mkoa wa Tanga, Toka kushoto ni Mecky Manyanga, Adam Mchomvu, Stamina na Moko Biashara.
 Faraji Majimoto RAI MC akifanya yake kwenye steji.
 Sehemu ya umati uliohudhuria kwenye shindano la kusaka vipaji vya kuimba la Tigo Fiesta Supa Nyota kiwanja cha Tangamano, Tanga.
 Jaji Mkuu wa shindano la kusaka vipaji Tigo Fiesta Supa Nyota 2018, Adam Mchomvu akimnyanyua mkono juu mshindi wa shindano hilo toka Tanga, Faraji Majimoto maarufu kama Rai Mc, kwenye kinyang'anyiro kilichofanyika leo kiwanja cha Tangamano Tanga. Faraji ataingia kwenye fainali itakayofanyika Dar es salaam mwezi ujao.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: