Articles by "UJUMBE WA JUMAPILI"
Showing posts with label UJUMBE WA JUMAPILI. Show all posts
MIMINA NEEMA - KWAYA YA MT KIZITO
Mimina Neema. Ni Toleo la 11 la Kwaya ya Mtakatifu Kizito, Parokia ya mwenye heri Anuarite - Makuburi, Dar es salaam. Huu ni wimbo mmoja miongoni mwa nyimbo 12 zinazofanya...
ROHO MTAKATIFU ANAVYOONGOZA WANA WA MUNGU
Na Mwl Christopher Mwakasege. Jina la Yesu Kristo litukuzwe milele! Leo nataka kuanza mfululizo mwingine wa somo, ambao naamini utakuwa wa msaada sana kwako,...
RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU WA TANO WA KANISA LA ANGLIKANA DAYOSISI YA DAR ES SALAAM
Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Mteule Mch. Can. Jackson Sosthenes Jackson akiweka sahihi hati ya kiapo baada ya kuwekwa wakfu na...
RAS-DODOMA- WAKUMBUKENI IDARA ZA ELIMU KATIKA PLANREP MPYA
Mkurugenzi wa Mifumo ya Tehama kwenye mradi wa PS3 Desderia Wengaa akitoa maelezo ya Utangulizi wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Planrep na FFARS. Baadhi ya washiriki...
ASKOFU DK.ALEX MALASUSA AONGOZA IBADA YA IJUMAA KUU KATIKA KANISA LA KKKT USHARIKA WA AZANIA FRONT JIJINI DAR ES SALAAM
Muumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, Moses Kombe (katikati) na wenzake wakiigiza igizo la kumbukumbu ya kuambwa msalabani...
MAMA MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA HAFLA YA KUMUAGA PAROKO WA KANISA LA MTAKATIFU PETRO FR. STEPHANO KAOMBWE ANAYEHAMIA CHANG'OMBE
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiongea machache alipoungana na waumini, ndugu jamaa na marafiki kumuaga Fr. Stephano Kaombwe (kulia), Paroko aliyekuwa...
WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI YA MWAKA MPYA 2017 KANISA LA KKKT DAYOSISI YA MONDULI - ARUSHA
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa Mhe. Edward Lowassa akizungumza na waumini wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Monduli Arusha katika misa...
MCHUNGAJI WA KANISA LA EAGT MITO YA BARAKA JIJINI DAR ES SALAAM AHUDUMU KATIKA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA
Mchungaji  Bruno Mwakibolwa kutoka Kanisa la EAGT Mito ya Baraka Temeke Jijini Dar es salaam, jumapili iliyopita Oktoba 16, 2016 alihudumu katika Kanisa la EAGT...
Page 1 of 212Last