Mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Happiness Shuma (kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC) Never Daimon, na Mkuu wa Idara ya Mauzo wa Vodacom Business, Rahma Dachi wakiwa wakifurahia mara baada ya kukata utepe ishara ya makubaliano ya ushirikiano na TRC ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja ambapo Vodacom imewasogezea huduma zake abiria wa treni hiyo maarufu kama ‘Treni ya Mwakyembe’ inayofanya safari zake hapa jijini Dar es Salaam.
Wakiķata keki mara baada ya kusaini makubaliano ya shirikiano na TRC ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja ambapo Vodacom imewasogezea huduma zake abiria wa treni hiyo maarufu kama ‘Treni ya Mwakyembe’ inayofanya safari zake hapa jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Vodacom na TRC wakifurahia pamoja ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja ambapo Vodacom imewasogezea huduma zake abiria wa treni hiyo maarufu kama ‘Treni ya Mwakyembe’ inayofanya safari zake hapa jijini Dar es Salaam.
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: