Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2022.

Viongozi wakuu wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan (katikati) katika ukumbi wa Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam leo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania
bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akimuelekeza jambo Katibu Mkuu wa Chama hicho Daniel Chongolo wakati wa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa wakiwa katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan

.jpg)

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana,Katibu Mkuu Daniel Chongolo, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mhe. Christina Mndeme pamoja na Spika wa Bunge Mhe.Dkt Tulia Ackson mara baada ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam leo Septemba 7, 2022.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein akiangalia picha zenye ujumbe maridhawa mara baada ya kumaliza Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.
.jpeg)
.jpeg)
Toa Maoni Yako:
0 comments: