Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan SSH, akisalimiana na maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Iringa na vitongoji vyake wakati akiwasili katika Uwanja wa CCM Samora kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Hadhara tarehe 12 Agosti, 2022, ambapo awali aliweka JIWE la msingi ukarabati na upanuzi wa kiwanja Cha ndege Iringa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Iringa wakati akiwasili kwenye uwanja wa michezo wa Samora kwa ajili ya kuwahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja huo Mkoani Iringa tarehe 12 Agosti, 2022.

Sehemu ya Wananchi wa Mkoa wa Iringa waliohudhuria Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Michezo wa Samora ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwahutubia tarehe 12 Agosti, 2022.

Sehemu ya Wananchi wa Mkoa wa Iringa waliohudhuria Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Michezo wa Samora ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwahutubia tarehe 12 Agosti, 2022. (PICHA NA IKULU).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: