Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi waliopishwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tannzania katika Nchi mbali mbali walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo (pichani wa pili kulia) Mhe.Balozi Anisa Mbega Nchini India (katikati) MheInnocent Shiyo Nchini Afrika ya Kusini na (kushoto) Mhe.Togolani Mavura Nchini Korea Kusini.[Picha na Ikulu] 25/10/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi waliopishwa hivi karibuni kwenda kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tannzania Nchi katika mbali mbali walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo,(kushoto) Mhe.Balozi Togolani Mavura Nchini Korea Kusini,Mhe.Anisa Mbega Nchini India na Mhe.Innocent Shiyo Nchini Afrika ya Kusini pia na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said (kulia).
[Picha na Ikulu] 25/10/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea Picha ya Kuchora inayoonyesha Uchumi wa Buluu kupitia Uvuvi kutoka wa mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu EGH baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu] 25/10/2021.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: