Mstahiki Meya wa Mji wa Morogoro Paschal Kihanga Mwendashule (Kushoto) akimkabidhi funguo ya gari bi Glory Lyatuu kutoka Morogoro baada ya kuibuka mshindi wa nane wa promosheni ya Tumia M-Pesa ushinde gari, mteja wa M-Pesa anatakiwa kufanya miamala mingi zaidi ili kuweza kujishindia gari.
Mstahiki Meya wa Mji wa Morogoro Paschal Kihanga Mwendashule (Kushoto) akimkabidhi kadi ya gari bi Glory Lyatuu kutoka Morogoro baada ya kuibuka mshindi wa nane wa promosheni ya Tumia M-Pesa ushinde gari, mteja wa M-Pesa anatakiwa kufanya miamala mingi zaidi ili kuweza kujishindia gari.

Toa Maoni Yako:
0 comments: