Mgeni rasmi katika Tamasha la muziki wa Injili, Mjasiriamali Jesca Msambatavangu, akitoa somo la ujariamali kwa wanamuziki waliohudhuria tamasha hilo lililofanyika leo Kanisa Kuu la Anglikana jijini Dodoma. Tamasha hilo liliandaliwa na kanisa hilo na Umoja wa Muziki Tanzania (TAMUFO)
Wanamuziki wa injili wakiserebuka katika tamasha hilo.
Muimbaji wa muziki wa injili, Happynes Sanga (katikati), kutoka Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Tunduma mkoani Songwe akitoa burudani.
Waumini wakiwa kwenye tamasha hilo.
Rais wa TAMUFO, Dk.Donald Sanga akiteta jambo na Mgeni rasmi wa tamasha hilo, Mjasiriamali Jesca Msambatavangu.
Watoto wakiserebuka.
Rais wa TAMUFO, Dk.Donald Sanga, akiimba na waimbaji wengine pamoja na Mchungaji wa kanisa hilo, Rev. Saigwa.
Watoto wa kanisa hilo wakiimba.
Mwimbaji wa nyimbo za injili Madamu Ruth Mwamfupe (kulia), akiimba pamoja na wanamuziki wenzake.
Askofu Johnson Max Well kutoka Marekani akiwafanyia maombi waumini mbalimbali waliofika kwenye tamasha hilo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: