DUZE DAVID TUSEKELEGE
MTOTO WA KIUME DUZE DAVID TUSEKELEGE MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU KATIKA SHULE YA SEKONDARI AMKA ILIYOPO IGAWILO UYOLE MKOANI MBEYA AMETOWEKA NYUMBANI MAENEO YA SOWETO KWA MAMA JOHN TANGU TAREHE 04 JANUARY 2015.
MTOTO HUYO NI MWEUPE WA KIMO CHA WASTANI, TUNAOMBA MTU YEYOTE ATAKAYE MUONA ATOE TAARIFA KATIKA KITUO CHA POLISI KILICHO KARIBU.
TAARIFA YA POLISI NI RB 71/2015 YA TAREHE 08/01/2015 AU ATUTAARIFU KWA NAMBA ZA SIMU ZIFUATAZO – 0756 033 340, 0764 504 904 , 0784 509 808 AU 0719 011 099.
Toa Maoni Yako:
0 comments: